Friday, May 31, 2013

Kifuatacho wiki ijayo..............





 Hii ni kazi ya homez deco......

 baadhi ya mito ambayo tunatengeneza wenyewe.......nikiwa ninafanya set up ya kochi na kupangilia rangi

 Hapa nikikagua kazi kabla haijatoka kwenda kwa mteja na kuhakikisha kila kitu kiko sawa......
mito ikiwa katika hatua ya mwisho................


Endelea kua nasi wiki ijayo......................

No comments:

Post a Comment