Thursday, January 31, 2013

Quick Cleaning Solutions for Kitchen




What to tackle if you have 15 minutes, 30 minutes, an hour, or half a day to clean.

Easy Steps for Cleaning the Kitchen

Kitchen duty isn't easy. The main culprit: grease. Before you start combating it, move small appliances off the counters to ensure that bacteria (kitchen enemy No. 2) won't flourish underneath the toaster oven or the coffeemaker.

If You Have 15 Minutes

  • Clean countertops and the sink. Spray disinfectant in the sink and let it soak. "Otherwise the product won't have time to kill all the bacteria and viruses you're trying to remove," says Janice Stewart, owner of Castle Keepers, a professional cleaning service in Charleston, South Carolina. Meanwhile, spritz the counters with disinfectant. Then scrub the sink with a sponge, rinse well, and dry. Return to the counters and wipe dry with a fresh cotton or microfiber cloth.
  • Sweep or dry-mop the floor. Make a pass using an electrostatic mop (like those from Swiffer) or cloth. This will pick up dirt and hair and make wet-mopping more efficient.
  • Clean the refrigerator handle. It takes only seconds to wipe down this bacteria-friendly spot with disinfectant.

If You Have 30 Minutes, Add the Following

  • Wet-mop the floor. A few spritzes of an all-purpose cleaner and a damp microfiber mop will do the trick. "You can finish the kitchen floor in minutes―with no dirty water bucket," says speed-cleaning expert Laura Dellutri.
  • Wipe down appliances. Clean the surfaces of the gadgets.

If You Have an Hour, Add the Following

  • Wash the cabinet fronts. Wipe from top to bottom with a soft sponge and a solution of warm water and dish soap. If the cabinets are wood, use a wood cleanser.

If You Have Half a Day, Add the Following

  • Deep-clean appliances. To freshen the refrigerator's interior, clean it with a solution of three tablespoons baking soda and four cups warm water. No self-cleaning oven? Wipe down the inside with an all-purpose cleanser. Use a plastic scraper (or an old credit card) to get bits of food off the racks and drip pan.
  • Dust and degrime inside and out. Remove crumbs from inside cabinets with a vacuum attachment or a damp cloth.



By Maria Shollenbarger

Metal Beds....

 Price tshs. 350,000/-
 Price tshs. 350,000/-
 Price tshs. 380,000/-
Price tshs. 350,000/-

Note: All prices are 5 by 6 size.

Bathroom Stands



 Price 120,000/-
 Price 165,000/-
 Price 195,000/-
Price 165,000/-

Wednesday, January 30, 2013

Interior Decoration for Less




Dulux: How lighting affects your room




Dulux: Colour introduction







Taa za urembo ....


 Hizi ni taa za urembo, ambazo hutumika sebuleni,ama vyumbani. ila pia hutokana na ukubwa wake.....Taa hizi huvutia sana na zinaleta ladha uzitumiapo......Hufanya chumba kua na mwangaza na hupendezesha chumba....


 Taa hizi ziko za aina tofauti, na kulingana na matumizi yako......




 Kama tunavyoona kwenye picha hizi, taa zinatofautiana kulingana na wewe upendavyo....unaweza kuweka taa moja ama mbili kulingana na upendavyo....taa hizi ziko za aina tofauti, na unaweza ukanunua kulingana na sehemu yako ilivyo, nikiwa nina maana ya rangi ya ukuta, fanicha etc.....





 Si lazima ukaweka taa nyingi, unaweza ukaweka taa moja kubwa, ama mbili ndogo, ama mbili kubwa. na pia unaangalia na ukubwa wa sehemu yako, na vitu ulivyoviweka.....taa hizi zina shades, na urembo tofauti kulingana na upendavyo( shades ni hizo kofia za juu ya taa, hua zinatoka na unaweza kuzibadilisha kwa urahisi)

Taa hizi unaweza ukaziweka pembeni ya makochi yako, ama pembeni ya tv stand, ama kama kuna kimeza nyumba ya makochi yako unawez kuweka pia......

Kwa hapa Tanzania, taa hizi ziko na zinapatika kwenye maduka ya taa, ama shopping malls, etc.......

Tuesday, January 29, 2013

Homez Deco sasa ni wakala halali wa Dulux Paints......



 Homez Deco inayo furaha kuwafahamisha kwamba, tumechaguliwa kua wakala wa Dulux Paints....Nianwashukuru sana wadau wangu wote, kwani mafanikio haya yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na ninyi.....

Hizi ni rangi za ndani, na  nje... ambazo zina ubora wa hali ya juu, na pia zimetengenezwa mahususi, kwa kubana matumizi mengi ya rangi...nikiwa na maana ya kwamba, mahali pa kutumia ndoo 5 wewe utatumia ndoo 3.



Utumiapo rangi hizi, matumizi yake ni madogo, na zina ubora wa hali ya juu, kwa upande wa finnishing, na zina ubora wa miaka 8 tokea umepaka ukutani, Hazi pauki, hazi fifii.....

Hapo juu ni baadhi ya rangi za dulux zilizotumika kwenye baadhi ya vyumba.....



Hizi ni sample za rangi, ambapo zina shades, zaidi ya 1000.....na zimepangwa kwa groups tofauti tofauti....na zikiwa na codes zake, kwa maana ya kwamba ina kua ni rahisi kwa kutengeneza na kuto kuchukua muda mrefu kupata rangi uliyo itaka wakati wa utengenezaji wake....



Tunakukaribisha katika ulimwengu wa rangi za Dulux, na uone mabadiliko.....

Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wadau wangu wote waliotumia rangi za dulux....na ninawakaribisha wote katika ulimwengu wa Dulux Paints mjionee mabadiliko, na ubora wa rangi hizi....

Homez Deco tunakuja kwenye site yako unayohitaji upakiwe rangi, na tutakushauri, na kukufanyia mahesabu ya rangi kiasi ngapi zitahitajika...

Lakini pia unaweza ukatupatia nyumba/ofisi yako ina square meter ngapi, na tutakufanyia hesabu na kukuambia ni rangi kiasi gani utahitaji....

Kwa watu wa mikoani, mnakaribishwa pia....kwani rangi zitatumwa kwenye mikoa yenu....


Kwa mawasiliano nasi, simu: 0713 - 920565, email: sylvianamoyo@yahoo.com

Karibuni....



Monday, January 28, 2013

Curtain Designs.....


 Design hizi zote zinapatikana Homez Deco, Hizi  ni design za curtain box.




Karibuni sana.......

Wasiliana nasi kwa design uliyoipenda. na tutakushonea......

Metal Beds available @ Homez Deco by order....

 Price, size 5 by 6 Tshs. 350,000/-
  Price, size 5 by 6 Tshs. 380,000/-
  Price, size 5 by 6 Tshs. 390,000/-

  Price, size 5 by 6 Tshs. 450,000/-
  Price, size 5 by 6 Tshs. 380,000/-
 Price, size 5 by 6 Tshs. 350,000/-

Press you order through this number 0713 - 920565 or email address: sylvianamoyo@yahoo.com

Sunday, January 27, 2013

Rangi zanye giza......





 Kumekua na tatizo la wengi wetu kupenda rangi zenye giza...ama Dark colors, kwenye nyumba zetu, ama maofisini kwetu....Rangi hizi zinahitaji sana mwanga, nikisema mwanga ni kuanzia mwanga wa asili, na pia mwanga wa taa wakati wa usiku.......Rangi hizi hufanya chumba kua kidogo na chenye giza.....haijalishi umezitumia wapi...maana kokote unaweza kutumia ila zitumike kwa mpangilio kama unapenda rangi zaidi ya moja.





 Kama tunavyoziona picha zetu, rangi zilizotumika ni dark lakini ukiangalia, kwa uangalifu utakuta kua kuna mwanga katika vyumba hivi, na pia fanicha zake ni ang'aavu....Huwezi ukatumia kuanzia rangi, fanicha na urembo, sakafu etc...vyote vikawa ni rangi za giza.....Kwa kufanya hivyo, nyumba itakua ni giza, na haileti mvuto wowote ule.......


Na pia haimaanishi ni lazima uweke vitu vyeupe ndio viweze kufanya nyumba yako kua ang'aavu, kama utatumia rangi za ukuta zikiwa ni Dark, basi fanicha na mapambo yafanye yawe ni light colors....ambazo zitaenda na rangi ya ukuta, ama hata kama utafanya mix and match pia itapendeza.....

Kua na nyumba nzuri na yenye kupendeza, haimaanishi ni mpaka ujaze fanicha, etc, ndio nyumba ipendeze....
Ni kua na mpangilio mzuri, na nyumba itapendeza.......