Monday, July 23, 2012

Duka linalouza wallpaper hapa Dar-Es-Salaam



Nimefanikiwa kuliona duka linalouza wallpapers, maana niliombwa sana sana na wadau niwajulishe ni wapi wanauza wallpapers.

Duka hili liko nyuma ya billicanas club, kuna round about na shell ya bp, hilo duka linatazamana na hiyo shel linaitwa Dolson...

Karibuni sana.....

No comments:

Post a Comment