Wapendwa mnazikumbuka hizi? Ni mojawapo ya mapambo ambayo yalikuwa yakitumika zamani ila sasa zimerudi tena. unaweza kutumia kama table mats, ama ukatundi ukutani kama urembo.

Hizi ni table mats za vitambaaa

mbao pia zaweza kutumika kama table mats na zikapendeza pia

No comments:
Post a Comment