Kitchen Design
Monday, November 23, 2009
Wall paper
Wall paper hizi ni karatasi zinazobandikwa ukutani huwa ziko za aina nyingi sana na ina save sana kwa upande wa rangi, na ni rahisi kuzitoa (si mnajua wenye nyumba wengi hawataki kupaka rangi nyingine zaidi ya nyeupe na cream?) niko mbioni nafanyia kazi hizi wall paper za watoto. Nitawajulisha.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment