Kitchen Design
Wednesday, September 9, 2009
Chati ya rangi Na jinsi ya kuzipangilia (ukutani, mapambo etc)
Rangi zilizo mstari wa kwanza ni main colors . Zinazofuata ni za kuchanganyia kwahiyo unachagua nyumba yako iwe na rangi zilizotulia ama za kuchangamka. eg. waweza kuwa na ukuta ukaupaka rangi nyekundu, makochi yako yakawa green, ama kochi lako ni rangi ya njano, ukatupia mito ya papo na kukapendeza.
NDIO MAANA NASISITIZA TUSIWE WAOGA
WA
KUCHEZA NA RANGI.
Ukijiamini unaweza kucheza na rangi.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment