Tuesday, August 26, 2014

FORONYA ZA MITO YA CHINI.....PAMOJA NA MITO YAKE......

 Foronya zinapatika pamoja na mito yake ya kukalia chini.... size ni 70 by 70. ... foronya ni 15,000. Na mto ni 45,000. Karibuni wote......
Pls follow us on instagram @homezdeco

KIOO NA PICHA ZA UKUTANI ZIKIWA ZIMEFIKA KWA MTEJA.....

Picha za ukutani zikiwa nyumbani kwa mteja wetu.. aliweka kwenye korido yake.....ukiingii kutoka mlango wa mbele unakutana nazo....
Tujitahidi kuta zetu tusiziache wazi bila kuweka picha za ukutani kwani zinaleta mvuto zaidi.
Kioo pia kinamvuto wake hapo...kioo kikiwa ukutani. ....na kuna saa ya ukutani pia....
Kioo hiki ndicho kilichobaki....waweza weka sitting room. .ama dinning room ama bedroom ama ....korido. .na kikapendeza.....

Tuwasiliane kwa mahitaji ya home decorations. ... na ushauri....0713920565...

MITO YA SOFA NA MITO YA CHINI.....YOTE NI KUTOKA HOMEZ DECO...


 Tulitengeneza mito pamoja na foronya zake.... mteja alitaka color combo....
Ukiangalia kwa pembeni kulia kuna mito ya floor. ..

Karibuni mtupatie oda ya mito size zote utakazo.... pamoja na foronya zake.. nasi tutawapa mlichooda.....

Pls follow us on instagram @homezdeco