Zeze mi nilikuwa na ushari kwa dada yangu Jay Dee, kuhusu upangaji wake wa nguo, nimemtolea mifano ya haya makabati. Makabati haya hata mafundi wetu wanatengeneza ukiwa pelekea sample. Yeye kwa nilivyoona kwenye picha ni ana nguo nyingi na ni huwa anafanya shopping ya nguo mara kwa mara kwa nilivyoona hizi picha, sasa cha kumsaidia ni kuwa aangalie sample za makabati niliyotoa then achague ila kwa ushauri wangu sample ya kwanza hapo juuu ndio ingemfaaaa, na angeitengenza kwenye upande wa ukuta mmoja kwani it seems chumba hicho hicho ndicho cha viatu, nguo etc. Sis, ukipata hii kabati panga nguo kwa kutumia steps hizi:
- Kwa rangi
- Mashati peke yake
- Sekti pekeyake
- Suruali peke yake etc. Ila cha msisitizo zote hizi ziwe kwenye mpangilio wa rangi zinazofanana.
I WILL BE HERE IF SHE NEEDS MY HELP.
No comments:
Post a Comment