Kitchen Design

Friday, August 28, 2009

Jinsi ya kutengeneza maua wewe mwenyewe

Jinsi ya kutengeneza maua kwa urahisi, haya ni maua freshi,  nirahisi kutengeneza.

Nunua chungu cha maua cha kioo, weka maji nusu, chukua maua yako  kata ncha kwa kiupande kwa kutumia mkasi, hii husaidia shina la ua kufyonza maji, maua yako ya aina nyingi.  

Kama unaamua kuweka maua waridi maua haya hayavumilii joto, yanauwezo wa kukaa siku 3.

Nashauri utumie maua yanayoitwa tropiko. Haya yanauwezo wa kukaa wiki moja, wee kazi yako ni kubadilisha maji tuuu. Ni rahisi kutengeneza na hayana gharama, wewe mwenyewe unaweza kutengeneza pia. yanatumika kokote, nyumbani, ofisini etc.




Posted by Makan Sehat Ku at 1:21 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

About Me

Makan Sehat Ku
View my complete profile

Blog Archive

  • ►  2015 (50)
    • ►  August (17)
    • ►  July (5)
    • ►  June (1)
    • ►  May (5)
    • ►  April (10)
    • ►  March (4)
    • ►  February (3)
    • ►  January (5)
  • ►  2014 (106)
    • ►  December (10)
    • ►  October (4)
    • ►  September (8)
    • ►  August (7)
    • ►  July (11)
    • ►  June (23)
    • ►  May (6)
    • ►  April (15)
    • ►  March (2)
    • ►  February (15)
    • ►  January (5)
  • ►  2013 (170)
    • ►  December (10)
    • ►  November (9)
    • ►  October (5)
    • ►  September (9)
    • ►  August (1)
    • ►  July (22)
    • ►  June (24)
    • ►  May (17)
    • ►  April (20)
    • ►  March (17)
    • ►  February (10)
    • ►  January (26)
  • ►  2012 (331)
    • ►  December (13)
    • ►  November (23)
    • ►  October (53)
    • ►  September (27)
    • ►  August (22)
    • ►  July (26)
    • ►  June (9)
    • ►  May (27)
    • ►  April (20)
    • ►  March (20)
    • ►  February (37)
    • ►  January (54)
  • ►  2011 (160)
    • ►  December (43)
    • ►  November (21)
    • ►  October (48)
    • ►  September (48)
  • ►  2010 (37)
    • ►  June (10)
    • ►  January (27)
  • ▼  2009 (316)
    • ►  December (65)
    • ►  November (87)
    • ►  October (60)
    • ►  September (55)
    • ▼  August (49)
      • Tunaongea na mifano ama sivyo?
      • Jinsi ya kuning'iniza picha za ukutani
      • Maana ya pisi za maua waridi (rose)
      • Maana ya ua waridi moja moja (ua waridi ama rose tuu)
      • Baadhi ya Maua ya tropiko
      • Jinsi ya kutengeneza maua wewe mwenyewe
      • No title
      • No title
      • No title
      • Vyoo vyetu
      • No title
      • No title
      • Henga za bafuni
      • Mhhh hii kali, ni mito jamani lol!!!!
      • Henga za bafuni
      • Style zaidi .......
      • Maana ya rangi za mishumaa
      • Maana ya rangi za Mishumaa
      • Vyumba zaidi
      • Haya ni makazi ya wanyama wetu tuwapendao
      • No title
      • Kwa wale wanaoishi na paka, nimejaribu kutatua tat...
      • Hizi ni baadhi ya urembo wa mapazia kwa juu
      • No title
      • Baadhi ya Mapazia
      • Dizaini za Mapazia
      • Shukrani kwa funs wangu wooote
      • Sio lazima kabati la vyombo liweko
      • Nani kasema tuwe tunaweka meza za mbao pekee
      • Hii  iko simple na safi, hebu angalia hilo kabati ...
      • Meza za chakula
      • Si fundi fanicha anaweza kutengeneza?
      • hizi ni baadhi ya stendi za chooni,
      • Hiki choo nimekipenda duh!!!
      • Baadhi ya vitu vya bafuni
      • Henga ninayoizungumzia ni hiyo hapo ukutani. na in...
      • Mifano ya vyoo
      • Vyoo vyetu
      • Usafi wa jikoni
      • Baadhi ya vitu vya jikoni
      • vitu vinavyohitajika jikoni
      • pembe tatu hiyoooo
      • Mfano wa pembe tatu nilizoongelea
      • Jinsi ya kukarabati jiko kwa bajeti ndogo
      • ukutani ni kioo, saa ama urembo??
      • siting room ama sitingi room naombeni msaada wa ki...
      • mtakubaliana na mimi kuwa rangi nyeusi inaingilian...
      • Beding beding time
      • Do you want relaxed room
Simple theme. Powered by Blogger.