Kitchen Design

Thursday, September 10, 2009

Chumba

Huyu yeye  hakuweka vitu vingi na chumba kimependeza. kama nilivyosema sio lazima kuweka mavitu meeengi chumbani, na hizi picha  ninazozituma ninataka mpate idia kwa nyumba zenu, maana ntaulizwa maswali mpaka. KUNA MSEMO UNASEMA - COPY AND PASTE ILA UNATAKIWA  - COPY - EDIT - PASTE.
Makan Sehat Ku at 11:04 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Makan Sehat Ku
View my complete profile
Powered by Blogger.