Kitchen Design

Thursday, September 10, 2009

Chumba kimoja

Hiki ni chumba kimoja ama bachelor's room. Kuna kabati la nguo, kuna chest droo na hicho kioo hii yeye ndio kaifanya kama dressing table yake, kuna stool hiyo ndio meza yake, na kochi dogo, tv itakuwa mbele ya kitanda. angalia picha za ukutani. Kaweka carpets ndogo ndogo. Space iko ya kutosha.
Makan Sehat Ku at 10:58 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Makan Sehat Ku
View my complete profile
Powered by Blogger.