Thursday, February 27, 2014
NEUTRAL UKUTANI NA COLORFUL KWENYE FANICHA NA MAPAMBO.......
Kuna njia moja rahisi sana kwa wale wapendao colorfull kwenye nyumba zao....iko hivi...unapopaka rangi ukutani ambayo ni colorfull halafu ukaja ku mix and match na fanicha na mapambo.....hua inakuja kukuchosha baada ya muda.....na mara nyingi ni kua tunapaka rangi zisizoendana.....
nimeshaona kwenye baadhi ya nyumba zetu utakuta mtu anaweka rangi zaidi ya tano.....na hii huja kumahinda...na kufanya nyumba kuonekana kituko.....jamani kutumia rangi zairi ya tatu.......pls pls......pata ushauri kutoka kwa interior designer.....atakushauri kwa gharamma nafuu ni kukubaliana tuu na nyumba kuonekana nzuri na kuvutia.....hiyo ndio kazi yetu kuumiza vichwa kila siku ili kupendezesha nyumba yako.
nimeweka baadhi ya picha hapa ili muone rangi zinavyokwenda kwa mpangilio....hata kama ni nyingi lakini zinashabihiana...sio moja inamzidi mwingine na kuwaka sana ......
Napenda kutoa picha ili tuweze kuelewana zaidi.....na ukitumia rangi za kuwaka ni lazima utumie na rangi zilizopoa ili kuipunguza makali ile kali.....na kwa ushauri wangu endapo gutaki kutumia designer kwa kudhani kua unakwepa gharama...ama utamfaidisha interior designer. .....basi naomba na ninakupigia magoti.... kua heza na rangi 3 tuuuuuu...na tena ziwe zinaendana sio kupishana....hii itakusaidia nyumba yako kuto onekana kituko na kuchekesha walionuna....sasa basi....paka ukuta wako rangi neutral. ..kama cream, beige, butterscotch, etc....halafu hizo rangi 2 zilizobaki ndio cheza nazo kwenye fanicha na pazia na marembo.....na pia waweza irudia ile ya ukuta kwenye mapambo pia sio mbaya....
picha hizi 2....kuta ni neutral...then colors kaweka kwenye fanicha na mapambo....kiasi kwamba unaweza badilisha muda wowote wakati wowote mapambo na pazia...bila kuugusa ukuta ama kukuumiza kichwa kuubadilisha rangi.....
mfano picha hii ametumia rangi 3....kijani, pink, na nyeupe....na nyumba imependeza.......sasa ule ujuaji wa ma color combo tuuache kwenye nyumba zetu.....na kwa taarifa tuu color combo hua zinapendeza zaidi kwenye nyumba kubwa na zenye mwanga wa kutosha....ambapo kuna madirisha makubwa.....
Wednesday, February 19, 2014
COLOR IDEAS FOR YOUR LIVING ROOM. .....
Inategemea na wewe mwenye nyumba unapenda color gani....kwa mimi mara nyingi humuuliza mteja maswali ambayo hunisaidia kuweza kujua mteja anapenda rangi gani...ama vitu gani...maana wengi wetu wanadhani kua ukumuita interior designer ndio tayari anafanya kila kitu bila kukushirikisha....hapana hua hatuendi hivyo......
Nashauri unapomuita desiger wako kwa ajili ya nyumba yako ama ofisi...jitahidi kutoa detailss zote za nini unapenda...nini hupendi..unataka kuweje ukiingia nyumbani kwako ama ofsini...yote haya yatamsaidia designer kukufanyia kazi yako....
Tu nachokosea ni kutokua wawazi ama kuogopa kuonekana hujui...jamani hakuna mtu kazaliwa anajua....ni kua elimu tumejifunza katika secta mbali mbali.....
Homez deco hua tuna discuss...na kuulizana maswali na kuongea ili kujua nini unataka...kumbuka nyumba hiyo unakaa wewe sasa inabidi ikuwakilishe wewe mwenye nyumba na kukupendezesha...
Design ziko nyingi....kuna traditional, contemporary, etc......sasa unavyomuelezea interior designer. ..ye anajua ni design ipi aende nayo.....na ufurahie nyumba yako. Nitaelezea kila design inakuaje....ili iwe rahisi kwenu wateja kumuelezea designer..
Subscribe to:
Posts (Atom)























