Katika vyumba vya watoto wetu, hua tunaviacha tuu kuta zake zikiwa ziko plain, na baadhi ndio siku hizi wanaweka wallpaper katika kuta hizo, Kuta ninazozizungumzia ni zile ambazo hazina madirisha, ama makabati, ni ule ukuta ambao unawekea kitanda, kama ndio headboard etc.......
Hii ni michoro na sio stika ama wallpaper, ukipata mchoraji mzuri na anaejua kazi yake....hii michoro kwake sio shida kabisaaaa.....na anaweza kukuchanganyia rangi na zikatoka vizuri.....katika huo ukuta ukiwa na rangi iliyoko hata bila kupaka tena rangi.
hii ni baadhi ya michoro katika vyumba vya watoto.....
NB:
Homez Deco tunao wachoraji ukihitaji karibu wasiliana nasi kwa namba 0713 - 920565
Tuesday, July 2, 2013
SALE SALE SALE!!!!!! LEATHER SOFA........ SOLD
Sofa set imebaki seti moja ya watu saba......ni leather ya ukweli.....sio za kubahatisha...ziko katika hali nzuri......zimetengenezwa nje ya nchi........sio zile za kwetu tunazozijua.......
bei ni tshs. 1,650,000/- bei ya karibu na bureeeeeeeeeee......karibuni
kwa mahitaji yako wasiliana nasi kwa simu namba 0713 - 920565
bei ni tshs. 1,650,000/- bei ya karibu na bureeeeeeeeeee......karibuni
kwa mahitaji yako wasiliana nasi kwa simu namba 0713 - 920565
Monday, July 1, 2013
MAFUTA YA SHEA BODY BUTTER & VASELINE........YAMEFIKA YANAPATIKANA HOMEZ DECO....WAHI SASA......
Mafuta haya ya shea body butter, ni mazuri kwa ngozi ya aina yoyote ile, na hayachubui, yanakupa ung'aavu asilia wa ngozi yako.....nani orignal, .......tokea tumeaanza kuyauza sijawahi pata malalamiko ya kua kuna mtu yamemkataa, ama tatizo lolote lile,,,na ukikaa nayo vizuri, kopo hili linaweza kukufikisha hata miezi miwili......yanafanya ngozi yako iwe na moisture muda mwingi.....na hivyo unakua haupauki ngozi.
@ 45,000/-
Vaseline hii ya maji, jamani naipenda.....yaani ukiipaka, unakaa muda mrefu ngozi inang'aa, hasa na hiki kipupwe.. ndio usiseme. ama ukitoka outing kina dada/mama.... ukapaka haya mafuta....ngozi yako itang'aa na haipauki kwa muda mrefu......(ama umevaa nguo fupi, ama ya wazi...ukipaka mafuta haya....ngozi inameremeta).......@ 25,000/-
Family size.....vaseline ni nzuri mnooooo karibuni nyote....@ 65,000/-
Mask za usoni.....za matunda mbali mbali......bei tshs. 6,000/-
Karibuni nyote......
nb:
bidhaa zote zinatoka Marekani. nani orignal......

Subscribe to:
Posts (Atom)