Sunday, January 13, 2013
Color of the year 2013- Emerald Green
Hizi ni baadhi ya design kwa kutumia rangi ya mwaka 2013.....rangi hii inaweza kutumika chumba chochote kile, na unaweza pia ukaipunguza makali, nikiwa na maana ya kua unaweza kutumia dark color ama light color, kwenye ukuta, sofa, carpet, decorations etc....
Inawezekana kwa hapa kwetu Tanzania kua na mzingira mazuri......
Picha zote hapo juu ni baadhi ya sehemu mji wa Florida USA, shukrani kwa MRS. Jossyanne George- Proffessional Landscaper
Mimi binafsi napenda kujifunza kila niwezavyo mbinu mbali mbali,za kupanda miti, maua majani watanzania wenzangu tuyapende mazingira tunayoishi , siyo unaishi kwenye malundo ya uchafu mtaa mchafu ukiuliza siyo nyumba yangu ila wewe ndio unayevuta hewa chafu, magonjwa yakija yanakushambulia wewe na wanaokuzunguka. hasara ni ya nani wewe mpangaji au mwenye nyumba.
Tubaadilike kitabia please make this one of your new year resolutions, so we can have, clean nice community.and clean country together yes we can do it.
It's not always what government can do for you, but what you can do for yourr street, towns homes, working palaces, ect. Naami siku zote tukishirikiana tuna weza umoja ni nguvu. siku zote.
Katika mji wetu wa Dar, hali ya hewa haitofautiani ya Florida USA, Hii inanionyesha wazi, wazi wenzetu mazingira wameyapa kipaumbele sana, iwe ni small, towns big cities wanayalinda namazingira yao na kujatunza vyema ,wana special budgets, kwa ajili ya gardens na pia wanatoa tenders zao kwa wanataaluma, ya mazingira gardening and landscapings . Watanzania wenzangu iwe changamoto kwa kila mmoja wetu tuipendezeshe nchi yetu. ni jukumu letu sisi wote.
Wednesday, January 9, 2013
Chumba kimoja muonekano tofauti....
Picha hizi mbili za kwanza hapo juu ni chumba cha kulala kama kinavyoonekana, muonekano wa chumba hiki uko mara mbili, kilichofanyika ni kubalisha badhi ya vitu na chumba kuonekana kimebadilika....katika hapa, chumba kimebalishwa rangi, kabati na mashuka.....na kama unavyojionea.....muonekano ni tofauti kulingana na picha ya kwanza.....Usiwe na wasiwasi, hata chumba chako unaweza kukibadilisha tena kwa gharama nafuu mno...na ukaendelea kukipenda chumba chako....maana kinachotufanya tuchoke vyumba/nyumba zetu hua hatubadilishi muonekano, kama ni furnitures, rangi za ukuta, etc......Mwaka mpya na mambo mapya....badilisha muonekano wa chumba/nyumba yako kwa gharama nafuu, na utaendelea kuipenda nyumba yako.
Hili ni jiko kama linavyoonekana, limebadilishwa rangi mara 5, nani jiko hilo hilo moja. Hivi unajisikiaje unavyokua na ratiba ya kubadilisha muonekano wa nyumba yako ama chumba chako mara kwa mara kadri ya uwezo wako. nikisema hivi nina maana ya kua unaweza ukawa unapaka rangi mara 2 ama 3 kwa mwaka, ama kubadilisha furnitures, kubadilisha mpangilio etc....
Mabadiliko yaanza na wewe mwenyewe, na ndio wengine tunakua wafuasi....
Karibu sana k
Subscribe to:
Posts (Atom)

















