Kitchen Design

Wednesday, January 6, 2010

Colorful

Jiko hili limepakwa rangi ya mwaka 2010. inapendeza kwa kweli sio kila siku ni kijani tuuu.angalia nyekundu ilivyochangamsha pia.
Hii ni sitting room na makochi design hii yanaitwa corner sofa. ukiangalia kachanganya rangi zaidi ya tatu na inapendeza sana na hii ni kwa wale wanaopenda colorfull. mara nyingi colorful ila zisiwe deep colors sana inapendeza kwa nyumba zenye space ndogo ili kuongeza space na umaridadi na kupendezesha
mmhhh, hapa jamani msifikirie ni honey moon room. maana wengi wetu tumezoea kupamba chooni mpaka siku ya honey moon. Hebu siku moja pamba bafu lako kwa maua, mishumaa ambayo hutoa marashi, na mapambo mengine, halafu ingia uoge. nakwambia uchovu utakuisha na stress pia hupungua.
Nimependa ubunifu huuu wa kushonea vifungo kwenye foronya za mito, nimefanya na imependeza sana.
muendelezo wa colorful, inapendeza sana. hivi kuna haja ya kumechisha kila mara? hebu chagua sehemu moja ya nyumbani kwako halafu ipambe kwa colorful accessories. kisha niambie.
Posted by Makan Sehat Ku at 9:51 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

About Me

Makan Sehat Ku
View my complete profile

Blog Archive

  • ►  2015 (50)
    • ►  August (17)
    • ►  July (5)
    • ►  June (1)
    • ►  May (5)
    • ►  April (10)
    • ►  March (4)
    • ►  February (3)
    • ►  January (5)
  • ►  2014 (106)
    • ►  December (10)
    • ►  October (4)
    • ►  September (8)
    • ►  August (7)
    • ►  July (11)
    • ►  June (23)
    • ►  May (6)
    • ►  April (15)
    • ►  March (2)
    • ►  February (15)
    • ►  January (5)
  • ►  2013 (170)
    • ►  December (10)
    • ►  November (9)
    • ►  October (5)
    • ►  September (9)
    • ►  August (1)
    • ►  July (22)
    • ►  June (24)
    • ►  May (17)
    • ►  April (20)
    • ►  March (17)
    • ►  February (10)
    • ►  January (26)
  • ►  2012 (331)
    • ►  December (13)
    • ►  November (23)
    • ►  October (53)
    • ►  September (27)
    • ►  August (22)
    • ►  July (26)
    • ►  June (9)
    • ►  May (27)
    • ►  April (20)
    • ►  March (20)
    • ►  February (37)
    • ►  January (54)
  • ►  2011 (160)
    • ►  December (43)
    • ►  November (21)
    • ►  October (48)
    • ►  September (48)
  • ▼  2010 (37)
    • ►  June (10)
    • ▼  January (27)
      • TIP OF THE DAY
      • More Curtain Designs order now. ( Nawatakia weeken...
      • Ubunifu huooooo.... hii itawafaaa sana watu wa mao...
      • Haya wapenda mbwa huyu je?
      • Car wash hiyooooooooo!!!!!
      • Moooooooo
      • Kuna siku nilikwenda Game mlimani city na niliziku...
      • Ni kweli hua nasema tusiogope kucheza na rangi, il...
      • Black and white living room.(look at the sofa)
      • Guest which state house is this? Lovely and so org...
      • African theme Decoration
      • Honey mooners bedroom decorations
      • Mhhhhh!!!!!
      • Appetite hutokana na maandalizi mazuri na si upika...
      • Colorful
      • TIP OF THE DAY
      • TIP OF THE DAY
      • MODELS WA KESHO HAOOOO. HIVI HUWA NASIKIA UKIWAHOJ...
      • HAYA WENYE FAST FOOD UBUNIFU HUOOOOOO!!!
      • Wall Art Painting
      • Making the Most of Your Bedroom Space Using Color
      • KUMECHISHA!!!
      • HIVI MNADHANI POMBE NZURI JAMANI??? ONA SASA HUYU ...
      • HATARI LAKINI SALAMA!!! NIMESHINDWA KUJIZUIA NIKAO...
      • kuna mdau namtafuta
      • wapendwa wana blog ninawakaribisha tena mwaka mpya...
      • Color of the year 2010 is Turquoise. (Namshukuru M...
  • ►  2009 (316)
    • ►  December (65)
    • ►  November (87)
    • ►  October (60)
    • ►  September (55)
    • ►  August (49)
Simple theme. Powered by Blogger.