Kitchen Design

Tuesday, May 22, 2012

Mrs. Jossyanne & Me.....(Landscaping & Gardening)

Thanks, Jossyanne kwa zawadi, ni perfume ya Jordin Sparke........ni nzuri mno..... mzigo ndio umeingia, kuna vaseline tubes, hizi za safari hii zimeongezwa cocoa ziko 3...... kuna equate cocoa butter family size.... (natumia hizi products.....ni nzuri mnoooo)

Jamani kama nimenenepa vile........ hahahhaha....hahhahha... ngoja nianze mazoezi, maana nikichekea unene nitavua mabua.......
Mrs. Jossyanne yuko, naomba tumtumie, maana hua akikaribia kuondoka ndio utakuta tunatafutana, safari hii yuko kwa muda wa miezi 3 hapa TZ.... Kwa wote wale wenye maswali ya landscaing & Gardening tuwasiliane, na tutapanga kuja kwako na kutoa ushauri....
kwa wale wa mikoani, tuwasiliane kwa simu.........YUKO NCHINI TUMTUMIEKWA USHAURI, NA KUFANYIWA KAZI KABLA HAJAONDOKA.....
Makan Sehat Ku at 2:07 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Makan Sehat Ku
View my complete profile
Powered by Blogger.