Kitchen Design

Tuesday, December 1, 2009

Mr. & Mrs. George

hizo ni baadhi ya kazi zangu tunazozifanya huku new york za land scaping,trimming, weeds killings , morow thae lowans, planting flowers, na mengi tuu. Hii ni kazi yetu sote, mimi na mume wangu tunafanya Land scaping
Huyu ni mume wangu yuko kazini. kuna mengi tu ya kujifunza kutokana na wenzetu,ambayo kwa tz yana manufaa,sana, kwa mazingira yetu ambayo hayana, uangalizi wala utunzaji.


hapo ni mr wangu alikuwa na anakta majani ambayo tunasema ukoka, kwa ktumia tractors specialy.



Makan Sehat Ku at 9:30 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Makan Sehat Ku
View my complete profile
Powered by Blogger.