Kitchen Design

Thursday, November 26, 2009

Small space furniture arrangement

Kama inavyoonekana hapa nafasi ni  ndogo ila kwa mpangilio mzuri , unapata  nafasi ya  living room na jiko. Cha kuangalia hapa ni kuwa,  hakikisha kuwa furniture unaziziweka zisichukue nafasi kubwa, na sio lazima ziwe za ghali, angalia na uwezo wako pia. 
Makan Sehat Ku at 9:53 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Makan Sehat Ku
View my complete profile
Powered by Blogger.