Kitchen Design

Tuesday, November 17, 2009

Indoor Plants

Hizi ni baadhi ya indoor plants, ukiliweka ndani kwako kama ni sebuleni, jikoni, chooni chumbani ama sehemu yoyote ile ya nyumba huwa inafanya nyumba yako ionekane iko hai na safi na inapendeza. Wengi wetu huwa tunachanganya hapa, indoor plants ni maua ambayo  ukuaji wake ni wa taratibu na ni madogo, pia yanatakiwa yakae sehemu ambayo mwanga upo, na umwagiliaji wake usiwe wa mara kwa mara kikombe kimoja chatosha, na mbolea kiasi, na hakikisha kuna kisahani kwa chini kitakachowezesha maji yasidondoke chini,na huwa kinasafishwa, sasa inatagemea na muda wako ila inatakiwa kila baada ya siku tatu mpaka nne ulitoe nje la sivyo litanyauka na kufa.




Makan Sehat Ku at 11:01 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Makan Sehat Ku
View my complete profile
Powered by Blogger.