Kitchen Design

Monday, October 26, 2009

Jinsi ya kutandika kitanda

Katika pita pita yangu kwenye blog za wana blog wenzangu nikakutana na swali lililoulizwa kuwa anaomba ushauri wa kutandika kitanda, sasa basi haijalishi unakitanda cha aina gani, tandika shuka lako lililo safi na ikiwezekana ulinyooshe vizuri, halafu panga mito yako, sasa hapa inategemea una mito ingapi. Kama una mito miwili basi iweke hiyo na  kwa kupendezesha zaidi tandika mashuka ambayo ni set. sio mbaya ukichanganya rangi ila ziendane. Kama katika picha hii.
Makan Sehat Ku at 11:00 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Makan Sehat Ku
View my complete profile
Powered by Blogger.