Kitchen Design

Monday, September 21, 2009

Vitu vilivyoko dukani

Hizi zinaitwa burner, na hayo maboxi juu ni mafuta yake, kwenye hizo burner utaona chini kuna mshumaa, ambao ukiuwasha unayeyuka wote na kuwa maji ila hata ukizima unaweza kuutumia tena, unatumika muda wa siku tatu mfululizo. Nafasi ya juu ya hizi burner ndio unaweka hayo mafuta ambayo yana harufu totauti tofauti, unaweka matone  halafu unachanganya na maji kidogo. kwa hiyo kadri mshumaa unavyowaka  na hayo mafuta yanachemka ndivyo unapata harufu nzuri ndani. Waweza kutumia chumbani,  sitting room, na sehemu unayopenda ku relax. Ziko za aina tofauti hizo ni baadhi tu.
Makan Sehat Ku at 10:43 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Makan Sehat Ku
View my complete profile
Powered by Blogger.