Kitchen Design

Tuesday, September 22, 2009

Sylvia Namoyo - The Director of Homez Deco.

Napenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha wote dukani - Homez Deco. Na kuomba radhi kwa ucheleweshwaji wa ufunguzi wa duka. Duka liko Kinondoni manyanya karibu na petrol station ya mwanamboka BP, mbele yake kuna maduka mapya na saloon ya kiume ndio hapo. Kuna sale ya vitu vyote nilivyovionyesha hapo ambavyo vinapatikana dukani na vingine vingi ninaendelea kuvi post. Kwa mawasiliano zaidi Tel:0713 - 920565. KARIBUNI SANAANANAA
Makan Sehat Ku at 12:12 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Makan Sehat Ku
View my complete profile
Powered by Blogger.