Kitchen Design

Friday, September 18, 2009

Nimeona nisiwaache hivi hivi weekend hii na nivunje ukimya

Hizi ni candle holder ni salama na nashauri ukihitaji mishumaa ulizia ile isiyodondosha maji, maana mishumaa hii huwa kwa kiasi fulani ni salama.

Onyo: hakikisha mishumaa unawasha mbali na  watoto,wanyama na weka mahala ambapo hakuna chnzo cha moto kama mapazi, godoro etc.

Makan Sehat Ku at 1:32 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Makan Sehat Ku
View my complete profile
Powered by Blogger.