Kitchen Design
Friday, September 18, 2009
Hizi zaitwa bottle holder wajameni zingine ni za kupigilia ukutani zingine ni za kusimama
Hizi zote ni bottle holder inategemea na matumizi yako. Na ninapenda kuwafahamisha kuwa ninawatafutia mtu anayeweza kutengeneza vitu vya metal designs nzuri kama vitanda, meza, etc. Nitawajaulisha hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment