Kitchen Design

Monday, September 21, 2009

Flower verse


hivi hapo juu ni small flower verse Tsh. @12,500/= ila hutumika pia kuwekea vitu vidogo vodogo kama hereni,pete,cheni,maofisini  hutumika pia kuwekea stationery mezani kweli hupendeza sanaaaaa


Hizi flower verseTsh. 50,000/= kama bakuli na hizo unazozizoona kama mipira ni urembo wa mezaniTsh.@2000/=

Flower verse za round ndogo ni Tsh.25,000/= Hiyo nyeupe Ths.28,000/= nyekundu ya shape ya moyo Tsh.35,000/= Round shape kubwa Tsh.35.000/=
Makan Sehat Ku at 11:20 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Makan Sehat Ku
View my complete profile
Powered by Blogger.