Kitchen Design

Friday, August 28, 2009

Jinsi ya kutengeneza maua wewe mwenyewe

Jinsi ya kutengeneza maua kwa urahisi, haya ni maua freshi,  nirahisi kutengeneza.

Nunua chungu cha maua cha kioo, weka maji nusu, chukua maua yako  kata ncha kwa kiupande kwa kutumia mkasi, hii husaidia shina la ua kufyonza maji, maua yako ya aina nyingi.  

Kama unaamua kuweka maua waridi maua haya hayavumilii joto, yanauwezo wa kukaa siku 3.

Nashauri utumie maua yanayoitwa tropiko. Haya yanauwezo wa kukaa wiki moja, wee kazi yako ni kubadilisha maji tuuu. Ni rahisi kutengeneza na hayana gharama, wewe mwenyewe unaweza kutengeneza pia. yanatumika kokote, nyumbani, ofisini etc.




Makan Sehat Ku at 1:21 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Makan Sehat Ku
View my complete profile
Powered by Blogger.