Monday, June 2, 2014

VIOO......PAMOJA NA MBAO..........



 Endelea kua nasi....uweze kujua hivi vioo ni vya wapi.......na vitatumikaje.......




UBUNIFU....



Huu ni ubunifu.....waweza kua na gogo kwenye garden yako.....ama eneo la nyumba uako....na ukaweka ubunifu huu.....na kukapendeza...tuu..

NEAST STOOLS........HARD WOOD...



 Stools.....za mninga.....karibu homez deco kwa mahitaji yako ya stools kama hizi..kwa mbao aina yoyote ile....na design yoyote ile...inawezekana..

Stools hizi..husaidia sana kuokoa nafasi katika sitting room yako ama dinning...ama kokote unapotaka kuweka....na hupendeza sana....