Tuesday, April 29, 2014

DINNING TABLE.........

Meza ikiwa nyumbani kwa mteja wetu......ni yawatu 6....

Monday, April 28, 2014

ODA YA SETI YA KITANDA........


 Homez deco tulipeleka seti hii ya kitanda..kwa mteja...
 nilichofurahishwa nacho ni usafi wa godoro lake......katika kuhakikisha godoro lake ni safi...muda wote....yeye ameamua kutumia matress protector....

Matress protector. ...husaidia sana...godoro lako lisichafuke...na kulifanya lidumu likiwa safi.....

Nitawajulisha wapi yanapatikana...ili muweze kulinda magodoro yenu....ili hata siku unataka kiligawa....basi usiwe na hofu na mashaka...kwakua ni chafu.....

STOOL YA MNINGA.....


Hii ni oda ya mteja wetu .....alitaka stool ya mninga....kwa ajili ya kuweka ua juu..kwenye sebule yake....kwenye kona....
karibuni kwa mahitaji ya furniture za mbao aina yoyote ile....wasiliana nasi kwa simu namba 0713-920565.