Price tshs. 200,000/- kitanda pamoja na godoro. Size 6 by 6
Kitanda kimeuzwa......
Price tshs. 45,000/- office drawer. Kimeuzwa...
Price tshs. 15,000/- Kimeuzwa...
Vitu hivi vina umri wa miezi 6 tuuu
NB:
Naomba kwa maswali yote muwasiliane na namba ya simu niliyoweka hapo juu......yeye ndio atakaye weza kuwapa majibu ya maswali yote muulizayo......
Thursday, February 28, 2013
Tuesday, February 26, 2013
SOLD
Price tshs. 60,000/-(Stand ya kuanikia nguo)
Price tshs. 35,000/-(Stand ya mbao ya pochi. makoti) Imeuzwa
Price tshs. 35,000/-( shoe rack ya mbao)
Price tshs. 30,000/-( stand ya Tv)
Homez Deco tunaendelea kuwakaribisha, kutangaza nasi kwa mahitaji yako ya kuuza vifaa vya majumbani na maofisini.......
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi ya kutangaza....
Karibuni sana......

Monday, February 25, 2013
Kitchen Hood.....
Hili ni jiko la mdau wetu.....ambapo Homez Deco tulimpakia rangi za Dulux...Lakini pia nilivutiwa na jiko lake. Mnakumbuka kuna siku katika blog yetu nilizungumzia kuhusu Kitchen Hood, na kazi yake.....Kazi yake ni kunyonya unyevu na mvuke ambao hua unachafua sana jiko.....
Nilipendezewa pia na jinsi alivyo weka lebo katika kontena zake za kuhifadhia chakula...Kama inavyoonekana hapa.....Hata siku moja haitaweza kukupa shida ya kuanza kutafuta kontena ipi ina nini.......maana unaweza ukawa una kontena nyingi na zikakuchanganya...
Hili pia nililizungumzia la kuweka lebo kontena za chakula. na zinatakiwa ziwe zinazoonyesha ndani kuna nini.....
Mimi binafsi nilipendezewa na jiko lake,
Napenda kuchukua fursa hii kukupongeza mdau wetu, kwa kua na jiko zuri na safi na lakisasa.....
(nitaomba contacts za hawa waliotengeneza jiko hili ili wadau nao muweze kua na majiko ya kisasa kama hili, maana finishing yao ni nzuri mno)
Nitalipiga picha jiko zima na kuweza kuwaletea humu humu.......

Subscribe to:
Posts (Atom)