Kitchen Design
Monday, October 19, 2009
dinning tables - COPY - EDIT - PASTE
funs wangu nilikuwa kimya kwenye hizi dinning table, kwani nilikuwa na kibarua cha kutafuta jinsi ya kureplace hicho kioo kwani nilishauriwa kuwa kwa watu wenye watoto italeta maafaa. Sasa nimepata ufumbuzi wa hilo. badala ya kioo tutaweka tanga stone. kwa wote wanaohitaji karibuni ama tuwasiliane kwa maelezo zaidi. bei maelewano. Hakishindikani kitu Homez deco.
meza ( zinapatikana kwa order)
bei tshs.95,000/= hiyo ni stool ila ikiwa ni meza na stool 2 itakuwa tshs.350,000/=
bei tshs. bila stool 300,000/=
bei tshs. 300,000/- bila stool
bei tshs.350,000/=
bei tshs. 260,000/=
bei tshs. 350,000/-
ubunifu huoooooooo(hahahha)
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)