Sunday, July 13, 2014
MALI MPYA IMEINGIA HOMEZ DECO. .....WASILIANA NASI KWA MAHITAJI O713 920565.
Homezdeco tumeleta mapambo ya ndani kwenye nyumba ...ofisi....ya mezani...kabatini...maua pia yapo...
Maua yapo...
Mashuka pia yapo
Mapambo ya mezani...
Picha za ukutani zipo pia....
Wednesday, July 9, 2014
WALLPAPERS. ...IMESHABANDIKWA...NYUMBANI KWA MTEJA.......
Jinsi wallpapers zinavyoweza kubadili..sittingroom yako......kwa haraka ....
Hapa ni nyumbani kwa mtej aliyenunua wallpapers. ..rolls 3 na gundi 2. Na fundi wetu akaenda kubandika.......tunakushukuru mteja wetu.....
Picha ya chini ni kabla ya wallpapers na picha ya juu ni baada ya wallpapers. ....ni rahisi mno.....wallpapers bado zipo wadau....tuendelee kuwasiliana. ..0713 920565 kwa mahitaji ya wallpapers. ..karibuni wote...
Tuesday, July 8, 2014
WALLPAPERS ZIMEWASILI HOMEZ DECO....
Mali mpya ya wallpapers zimewasili. .....tunawakaribisha wote kwa mahitaji ha wallpapers. ....
Unaweza kubandika kwenye ukuta wa tv...ama ukuta wa dinning ama ukuta wa chumbani...na kukapendeza. ...
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi..0713 920565. Karibuni.
Nb: bado tunaendelea kupokea mizigo mingine....na tutawajulisha soon....endeleeni kua nasi...
Subscribe to:
Posts (Atom)






















