Napenda kuwakaribisha wadau wote wa Homez Deco pale diamond jubliee kwenye kitchen party gala......kuanzia saa nane mchana mpaka saa nne usiku.
Mie ntakuwepo pia......karibuni wooteee
Wanawake Oyeeeee.....
Friday, October 19, 2012
Msaada wa ujasiriamali....Ndugu wadau nakaribisha ushauri, mawazo tuweze kumsaidia mdau mwenzetu....Maana mimi sina uzoefu kwa upande wa biashara ya nguo.......
Mambo Sylvia, Hongera kwa kazi nzuri na elimu unayotupatia. Mimi nimekuwa napita kwa blog yako kila siku,
nahitaji ushauri wako wa kijasiriamali...
Nataka nifanye biashara ya nguo za watoto na kina dada tu toka nje ya nchi..
Natafuta mtu mkweli na mwaminifu wa kunipa maelekezo na misaada ya jinsi ya kufanya nikifika huko kwa watu hasa China / Hongkong,
na je natakiwa kuwa na mtaji wa sh. ngapi? Maana bado mgeni kwenye biashara. Please help me my dia dada.

Picha za ukutani chumbani....
Picha za ukutani hupendezesha chumba na kuleta muonekano mzuri mno.....waweza weka picha 1 ama 2 ama 3 kulingana na ukubwa wa chumba chako... Haijalishi ni picha za aina gani, ni wewe upendavyo. Kinachohitajika ni ziwe kwenye level moja kwa kila picha wakati wa kuziweka.... unahitajika kupima nafasi kabla haujaweka ukutani, na zisiwe juu sana ama chini sana....
Subscribe to:
Posts (Atom)