Friday, October 30, 2009

Designs metal furnitures






hivi ni kwa wale wenye chumba kimoja ni kitanda na the same time ni  kochi

Wednesday, October 28, 2009

Monday, October 26, 2009

Food stands

Chakula kina umuhimu wake kwenye miili yetu, sasa basi sio kupika tu vizuri, bali hata kukiandaa vizuri kwa kula, eidha mezani, etc. Tuna jua kuna hotpots, lakini inabidi ubunifu pia, nimezifuma hizi stand za chakula, kwakweli ukiziweka mezani hata kama huna appetite itakuja wandugu. Hii bei yake ni  Tshs. 35,000/= ya kwanza na ya pili(hizi stand ni bila sahani, na sahani zapatikana dukani kwangu na kama unazo zako inafaa pia leta sample tutakutengenezea)



Hii ni 45,000/= ya juu yake ni 65,000/= inayofuata ni shs 30,000/=

lovely & simple is it? Tshs.320,000/=

Jinsi ya kutandika kitanda

Katika pita pita yangu kwenye blog za wana blog wenzangu nikakutana na swali lililoulizwa kuwa anaomba ushauri wa kutandika kitanda, sasa basi haijalishi unakitanda cha aina gani, tandika shuka lako lililo safi na ikiwezekana ulinyooshe vizuri, halafu panga mito yako, sasa hapa inategemea una mito ingapi. Kama una mito miwili basi iweke hiyo na  kwa kupendezesha zaidi tandika mashuka ambayo ni set. sio mbaya ukichanganya rangi ila ziendane. Kama katika picha hii.

Asante Fun wangu Liz-Arusha (kuku tena kwa mnaopenda kuku haya na hii je mwasemaje?)

Hi, nawakaribisha wooote mnitumie picha za interio decorations ili tuweze ku share, nami bila kusita nitazipost. Hii ni blog site yetu wooote.  Karibuni nyote.

haya twaendelea na ubunifu

wow

simple

Emagine umepumzika hapa. Stress si zitapungua jamani?

Tip of the day

Kupendezesha dizaini zako za fanicha, ongezea fanicha za gold na silva.

Vioo vya ukutani Vyote ni Tshs.130,000/-



3 days missing

Hellow my funs, nilikuwa sipo for 3 days online, nilishikwa na ka malaria ila iam good sasa.

Sylvia - Director & Co - Founder of Homez Deco